Nafasi ya kazi kwa mtu wa phamarcy

Nafasi ya kazi kwa mtu wa phamarcy

Mr Leo

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
604
Reaction score
1,269
Assalam aleyqum Ndugu mwana jamvi!
ningependa moja moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, anatakiwa mtu wa phamarcy kwa ngazi ya certificate eneo la kazi dar es salam..kwa maelezo zaidi na majadiliano karibu PM
 
Cheki hii link kuna mwana anatafuta
 
Assalam aleyqum Ndugu mwana jamvi!
ningependa moja moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, anatakiwa mtu wa phamarcy kwa ngazi ya certificate eneo la kazi dar es salam..kwa maelezo zaidi na majadiliano karibu PM

Ushampata?
 
Back
Top Bottom