mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Kwa ninavyoona ( mtazamo Wangu binafsi) nafikiri hiyo blog ni kwa ajili ya interns! Kwa sababu kiufanisi na kiuweledi haimake sense na ni vigumu kwa mtu kudeliver let say 5 articles za maneno 1000 au 2000 na zikawa na contents, message + sufficient skills of writing in a required standard!Kama ww ni mwandishi kwa nini unakubali $0.8(~sh 2000) kwa article wakati kikawaida article hulipwa kwa idadi ya maneno.
Ukiaangalia rate za waandishi wengi wa upwork ni $0.05/word
Jifikirie upya kiongozi ni bora kuwa na blog yako binafsi.
Itakuwa kulipua lipua tu na mwisho wa siku watu watahisi kwamba ni ubabaishaji.