Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

Kama ww ni mwandishi kwa nini unakubali $0.8(~sh 2000) kwa article wakati kikawaida article hulipwa kwa idadi ya maneno.

Ukiaangalia rate za waandishi wengi wa upwork ni $0.05/word

Jifikirie upya kiongozi ni bora kuwa na blog yako binafsi.
Kwa ninavyoona ( mtazamo Wangu binafsi) nafikiri hiyo blog ni kwa ajili ya interns! Kwa sababu kiufanisi na kiuweledi haimake sense na ni vigumu kwa mtu kudeliver let say 5 articles za maneno 1000 au 2000 na zikawa na contents, message + sufficient skills of writing in a required standard!
Itakuwa kulipua lipua tu na mwisho wa siku watu watahisi kwamba ni ubabaishaji.
 
Mbona haifunguki?
 
hii ni ya wanaijeria wewe umeweka affiliate link upate mpunga unadanganya ni yenu.
 
Mnahitaji cameraman na editor.?
Mimi naweza fanya hayo ila vifaa sina hvy ntategemea vya ofisini.
Watanzania bhana.....umeshaambiwa wanatakiwa Waandishi Wewe unaulizia tena sijui Wapigapicha na Wahariri. Hivi unadhani kama wangekuwa wanahitajika ( mnahitajika ) si angewajumuisha tu katika hili Tangazo lake?
 
Em jitambue. Unavoangalia TV labla taarifa ya habari kwahy waliofanikisha mpaka unaona ni hao waandishi tuu.?

Kama unaona haikuhusu ww tulia tuu.
 
Em jitambue. Unavoangalia TV labla taarifa ya habari kwahy waliofanikisha mpaka unaona ni hao waandishi tuu.?

Kama unaona haikuhusu ww tulia tuu.
Huna Akili na kamwe hutokuwa nazo Milele. Umeambiwa wanatakiwa Waandishi wa Habari ( Watangazaji wa Luninga ) katika hili Tangazo au Waandishi wa Habari ( Print Media ) wakilengwa haswa? Kama na hao Watu wa Camera na Editors wangekuwa wanatakiwa kwa Upumbavu wako unadhani angeshindwa kuweka ( kutangaza ) hapa? Muwe mnasoma vyema Matangazo na Maelekezo na siyo Kukurupuka tu na Uswahili wenu.
 
Sawa boss, umeshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…