winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 285
- 336
sikugaili ila ile sehemu ya mwisho niliyo kuwepo nusu wanitengue Uti wa mgongo,, kazi 24/7 hakuna kupumzika,, sitaki teinaaaa😪 nimenawa🙌🤣Tukauze duka sio? Hivi ulihairisha kupata kazi wewe binti🫢 kazi za ndani ndio
Hutaki tena🥴
sio mwananyamala kwa mzee bakhresaAnahitaji mdada kwa ajili ya duka la nguo , lipo mwananyamala komakoma awe anayeishi jirani na maeneo hayo, mshahara 150,000, awe na uwezo wa kutumia social media kutangaza
Mawailiano , Whatsapp 0754200363
Nitafutie hizo kazi hebu mi nikafanye jamani😂sikugaili ila ile sehemu ya mwisho niliyo kuwepo nusu wanitengue Uti wa mgongo,, kazi 24/7 hakuna kupumzika,, sitaki teinaaaa😪 nimenawa🙌🤣
sitaki kukupoteza rafiki angu, we bado mdogo kuanza kuwa na matatizo ya mgongo,, nakupentraaa🤗🥰Nitafutie hizo kazi hebu mi nikafanye jamani😂
Mi nimekomaa mpaka ngozi, usukumani tunalima sana kwahiyo usijali kabisa kuhusu hilo🤗sitaki kukupoteza rafiki angu, we bado mdogo kuanza kuwa na matatizo ya mgongo,, nakupentraaa🤗🥰
kwendraaaa ngozi gani iliyo komaa hebu nipishe huko,, kwanza nataka kuja kukuibia skin care yako,, nahisi kama nahitaji glass skin🤸♀️🚶♀😝Mi nimekomaa mpaka ngozi, usukumani tunalima sana kwahiyo usijali kabisa kuhusu hilo🤗
Skin care ya laki 7 pale sinza ndio itaondoa hii dead skin yangu😃(naomba elaa🫴🏾) tofauti na hapo ntaishia kwenda sauna na cocoa scrub yangu pamoja na serum,cleanser na sunscreen za binti urembo🥴kwendraaaa ngozi gani iliyo komaa hebu nipishe huko,, kwanza nataka kuja kukuibia skin care yako,, nahisi kama nahitaji glass skin🤸♀️🚶♀😝
unaelewa kwamba natakiwa kuishi na wew vizuri🤗😅😅 nina mengi ya kujifunza hebu nikae kimy kwanza🤐Skin care ya laki 7 pale sinza ndio itaondoa hii dead skin yangu😃(naomba elaa🫴🏾) tofauti na hapo ntaishia kwenda sauna na cocoa scrub yangu pamoja na serum,cleanser na sunscreen za binti urembo🥴