Nafasi ya kazi: Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery)

Avs

Senior Member
Joined
Nov 27, 2022
Posts
198
Reaction score
451
Hello.
Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery).

  • Mjuzi katika utengenezaji wa mikate,cakes na maandazi.
  • Mwenye kujua kutumia vifaa vya uokaji eg. Mixer, ovens etc.

Yoyote mwenye interest na baking anaweza ku apply. Ofisi zipo mwanza mjini. Karibuni.
 
Nipe namba yako inbox nikuunge na mtu anaejua kaz hizo
 
Back
Top Bottom