Hello.
Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery).
- Mjuzi katika utengenezaji wa mikate,cakes na maandazi.
- Mwenye kujua kutumia vifaa vya uokaji eg. Mixer, ovens etc.
Yoyote mwenye interest na baking anaweza ku apply. Ofisi zipo mwanza mjini. Karibuni.