NAFASI YA KAZI UALIMU.

Impactinglife

Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
41
Reaction score
99
Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo;
1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha
2. PHYSICS-MATHEMATICS
awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo Advance na O level

3. BIOLOGY-CHEMISTRY
Awe amesomea ualimu.

Mshahara ni ngazi ya serikali Kwa walimu daraja la 3C.
Shule Iko mkoani Mbeya... Mbeya Mjini
Mawasiliano; 0655087675
 
Sijaelewa hapo course ya uchumi na account ,, kwamba akisoma uchumi awe na account kasoma pia au hata kama kadoma economics peke yake anaweza kuomba
 
Mbona unaficha jina la shule afsa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…