Nafasi ya kazi ya fumigation personnel

Nafasi ya kazi ya fumigation personnel

WEKKI

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
477
Reaction score
145
EFT CLEANING AGENCY LIMITED inatangaza nafasi ya kazi ya Fumigation Personnel
Sofa
. 1. awe na Umri usiopingua miaka 21
2. Awe na utayari kufanya kazi pale atakapopangwa
3. Awe amesomea fani husika na aw na vyeti vyote muhimu vya usajili
4.Awe tayari kufanya kazi ndani ya wiki mbili toka angazo hili linapotangazwa.
Kwa mawasiliano 0767488409
 
Back
Top Bottom