Nafasi ya kazi ya house girl

Nafasi ya kazi ya house girl

kishegheni

Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
21
Reaction score
85
NAFASI YA KAZI YA HOUSEGIRL

Anahitajika mfanyakazi wa ndani (mwanamke) House Girl mwenye vigezo vifuatavyo:

1) Mtu mzima wa umri miaka kuanzia 30 mpaka 36
2) Awe na ujuzi wa kazi zote za ndani ikiwa ni pamoja na usafi na kupika
3) Ajue kuongea English na uzoefu wa kufanya kazi na wageni ( foreigners)
4) Anatakiwa awe na barua ya uthibitisho kutoka Serikali ya Mitaa.
5) Atatakiwa kuleta wadhamini wawili wenye vitambulisho vya anakofanya kazi.

Kama unavyo vigezo vyote tuma meseji tu kwa namba 0712 818 787 (Usipige simu haitapokelewa)
 
Back
Top Bottom