Nafasi ya kazi ya kuuza duka la vifaa vya kompyuta

Nafasi ya kazi ya kuuza duka la vifaa vya kompyuta

polis

Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
97
Reaction score
33
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta

Vigezo
  • Awe mkazi wa Arusha Mjini.
  • Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
  • Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha.
  • Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care).
  • Awe anajua tecknolojia ya habari na mawasiliano vizuri.
  • Awe anajua kutoa ushauri wa kitaalam kwa wateja
  • Awe na uelewa wa mambo ya TEHAMA na masoko
  • Awe na jinsi ya kike.
  • Umri miaka 18-25
Malipo
Malipo ni maelewano
Mawasiliano
whatsapp:0717129334
call/sms: 0759278651
 
Binti wa Miaka 18 - 25 alafu mtaalamu wa TEHAMA!
Kila lakheri mkuu ila ungeongezea pia awe mweupe mwenye chura.
 
Ili upate urahisi wa kumla sasa demu na issue za troubleshooting na maintenance upo serious kwel?
 
kwenye jinsia tu hapo, ila vinginevyo mimi nipo vizuri
 
Back
Top Bottom