Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika.

Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi:
1) Addo
2) Pharmaceutical Dispenser
3) Pharmaceutical Assistant

Maombi yote yatumwe kwenda:
E-mail: mikeyamon@gmail.com
WhatsApp: 0768 444 224
 
Mkuu Sheria ya Famasi hairuhusu Addo Dispenser kuuza kwenye Famasi
 
Mbona hujataja mshahara, ili watu wavutiwe na hiyo kazi?, Au ni kazi ya bure?
Swala la mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Au wewe mshahara wako umeanikwa hadharani mahala unapofanya kazi?
 
Ukiwa kosa rudi taja mshahara tukulete waliokuwepo

Si kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa, ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe.

Hata hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
 
Si kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe.

Haya hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
Doh! Hii digrii yangu ya famas na bos wewe walahi bora niendelee kusakata fursa sokoni. Neno dogo tu mashambulio kibao
 

Attachments

  • IMG-20221110-WA0040.jpeg
    IMG-20221110-WA0040.jpeg
    669.3 KB · Views: 18
Back
Top Bottom