Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
Swala la mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Au wewe mshahara wako umeanikwa hadharani mahala unapofanya kazi?Mbona hujataja mshahara, ili watu wavutiwe na hiyo kazi?, Au ni kazi ya bure?
OK.Swala la mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Au wewe mshahara wako umeanikwa hadharani mahala unapofanya kazi?
Ukiwa kosa rudi taja mshahara tukulete waliokuwepo
Doh! Hii digrii yangu ya famas na bos wewe walahi bora niendelee kusakata fursa sokoni. Neno dogo tu mashambulio kibaoSi kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe.
Haya hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.