Tunahitaji Mhazili - Secratarial awe mwanamke kati ya miaka 20-35, mwenye cheti cha uhazili na uzoefu wa kufanya kazi kwa kujitegemea. Awe na uwezo wa kufanya muda wa ziada walau mpaka saa 2 Usiku muda mwingine. Muda wa Kuingia Ofisini saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mshahara kwa mwezi Shilingi 380,000 pamoja na Nauli kwa wiki shilingi 10,000. Wakati wa Miradi ya Kampuni Posho kwa siku Shilingi 30,000.
Majukumu: Kuanzisha kitengo cha stationery yaani kununua Binding machines, Scanner ,kutoa copy, kubind ripoti na pia stationeries zingine.
SERIOUS NOTE: UNAKUJA KUFANYA KAZI NA STAFF WENGINE SIO KITU KINGINE.
Ofisi ipo Urafiki Dar es Salaam. +255655789225.