Nafasi ya kazi ya muda (temporary)

HHR

New Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
3
Reaction score
2
Habari?

Nahitaji vijana wawili (wakike na kiume) kwa ajili ya kunifanyia kazi ya kutuma email kwa baadhi ya wateja wangu (email marketing) kulingana na orodha ntakayowapa.

- Kwa siku wanatakiwa kutuma email 100
- Kazi ni ya siku 30 na malipo yake ni TSH 200,000
- Watahitajika kuja kufanyia kazi hizo ofisini kwangu
- Wanatakiwa kuwa na laptop inayofanya kazi vizuri
- Wanatakiwa kuwa na uwezo mkubwa wa kutumia kompyuta hasa upande wa internet and email
- Watatakiwa kuanza kazi zao saa mbili asubuhi hjadi saa sita mchana kila siku
- Watakuwa na mapumziko siku ya jumapili kwa kila wiki
- Malipo yao yatafanyika baada ya siku 30
- Nauli ya kuja na kuondoka kazini watajitegemea

Kwa watakaohitaji na wenye vigezo, wawasiliane na mteja wangu kwa namba zifuatazo :

Mr. Duwe
0687 886 949
 
Email marketing , hata kwa simu inaweza kufanyika mkuu
Mie nipo tyr ila sina pc
 
Namba haipatikani mkuu.
 
UPDATE :

Tunashukuru, tumeshapata watu wa kuweza kukamilisha zoezi kutoka kwa kadhaa tuliowasiliana nao. Asanteni.
 

Atumie mashine ake

Nauli ajitegemee

Chakula pia

kazi siku 6 kwa wiki

Huku sio china mkuu
 
Wapi? Maeneo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…