miss mkweli
Member
- Oct 30, 2010
- 14
- 0
asante. but cjaelewa 'pm' ni nini
umri??
Mbona matangazo ya kazi kibao yanaweka age limitation kwenye mainstream media, ,mbona hawafuatiliwi na sheria?mtakatifu,sheria ya ajira inakataza kubagua mtu kwa kigezo cha umri ama jinsi. au umri unautaka wa nn?she is above 18!