miss mkweli
Member
- Oct 30, 2010
- 14
- 0
Wanajamii nisaidieni kutafuta kazi ya uwanasheria. mimi nina Degree ya sheria toka Chuo kikuu cha Dar es Salaam pia nimepita Law school of Tanzania. yoyote atakaepata tuwasiliane kwa namba 0787559619
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante. but cjaelewa 'pm' ni nini
umri??
Mbona matangazo ya kazi kibao yanaweka age limitation kwenye mainstream media, ,mbona hawafuatiliwi na sheria?mtakatifu,sheria ya ajira inakataza kubagua mtu kwa kigezo cha umri ama jinsi. au umri unautaka wa nn?she is above 18!