Nafasi ya kazi ya mwanasheria

Nafasi ya kazi ya mwanasheria

miss mkweli

Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
14
Reaction score
0
Wanajamii nisaidieni kutafuta kazi ya uwanasheria. mimi nina Degree ya sheria toka Chuo kikuu cha Dar es Salaam pia nimepita Law school of Tanzania. yoyote atakaepata tuwasiliane kwa namba 0787559619
 
mtakatifu,sheria ya ajira inakataza kubagua mtu kwa kigezo cha umri ama jinsi. au umri unautaka wa nn?she is above 18!
Mbona matangazo ya kazi kibao yanaweka age limitation kwenye mainstream media, ,mbona hawafuatiliwi na sheria?
 
kwa nini wengine wanakuuliza umri na kutaka uwa-PM? Isije ikawa wanaandaa mazingira ya tongozo.
 
Back
Top Bottom