Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu wakeUnamatatizo ww pamoja na sijui dada yako au mdgo wako
Kuweni basi serious sio kila saa mnawazia ngono!!!Demu wake
Kwani Mwajei ni mwanaume, Mimi nikajua ni kifupi cha mwajumaDemu wake
Mwambie mdogo wako apeleke application Kwenye mashule huko hapa utamuuza huyo mdogo wako mwanachuoMimi nimesema mdogo wangu sasa wewe kama utahitaji kusema mengine hayo ni yako
By the way hayo hayahusiani na mada tajwa
Anakaa wapi,Mimi naanzisha pre form one Mahali.Wapendwa
Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History)
Kama kuna mtu anaweza kumpatia kazi; karibu Inbox tuyajenge
Unamatatizo ww pamoja na sijui dada yako au mdgo wako
najua hilo na ndio sababu nikaandika mimi ili niweze kuflter. Kama kuna mtu yuko serious atajulikana kwani sitegemei kusaidiwa bureMwambie mdogo wako apeleke application Kwenye mashule huko hapa utamuuza huyo mdogo wako mwanachuo
Wasamehe tu kwani hawajui walisemaloKwani Mwajei ni mwanaume, Mimi nikajua ni kifupi cha mwajuma