bundii mnyama
Member
- Sep 15, 2018
- 44
- 18
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24. Naomba kazi ya udereva kwa mtu binafsi au familia.
Nina uwezo wa kumuendesha mtu binafsi au familia kwa muda wowote ambao muajiri atahitaji.
Leseni ya udereva ni daraja D (class D). Elimu kidato cha sita (form six). Nina nidhamu ya hali ya juu kabisa na pia ni msafi (ntaliweka gari katika hali nzuri muda wote).
Mawasiliano: Whatsapp number: 0675 370 636
Kama kuna kazi au hata ushauri naomba unitafute Whatsapp kupitia number hiyo hapo juu.
Whatsapp pekee samahani.