Nafasi ya kazi ya udereva kwa watu wawili waliopo Kenya

Nafasi ya kazi ya udereva kwa watu wawili waliopo Kenya

Hustler_

Member
Joined
Jan 17, 2022
Posts
42
Reaction score
41
Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku.

Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata (coaster) na anatafuta madereva wawili wa kuendesha hayo magari na yanapatikana Nairobi yote

Kuna nafasi ya kazi kwa madereva wawili tu wanahitajika wanaoishi nchini kenya, Na kuna vigezo kabla hujaomba nafasi hii unatakiwa kua navyo kama ifuatavyo:-

1)Unatakiwa kuwa mkazi halali wa Kenya
2)Unatakiwa kuwa na leseni ya udereva na kitambulisho cha Taifa
3) Unatakiwa kuwa na uzoefu usiopungua miaka miwili (2)
4) Unatakiwa kuwa na wazamini wawili wanaoishi kenya

Nafasi ni kwa watu wawili tu, kama unahitaji unaweza nitumia cv zako whatsapp +254746746159 , na tutakutaarifu kama ukibahatika kupata nafasi

muwe na kazi njema na Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom