Nafasi ya kazi ya usafi wa mazingira

Nafasi ya kazi ya usafi wa mazingira

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
Kazi ya kusafisha mazingira
Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII
Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni
Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige
Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani kijana mwenzangu twende tukafanye kazi
Ukienda Whatsapp andika neno "project ya usafi" basi
 
Program iko wapi? Isije ikawa usafi wenyewe ni wa kukuasanya machupa au maboksi mana hizi za target tunazijua hizi
 
mtu mwenyewe hajiamini na tangazo lake, what do u expect?
Miaka kadhaa nyuma nlikutana n tangazo kama hili nikapiga akaniambia habar za maboksi kariakoo. Na alidai project hivihivi..

Kama ni kazi ya usafi target kwa ajili ya nn muulize
 
Back
Top Bottom