stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Program iko wapi? Isije ikawa usafi wenyewe ni wa kukuasanya machupa au maboksi mana hizi za target tunazijua hiziKazi ya kusafisha mazingira
Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII
Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni
Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige
Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani kijana mwenzangu twende tukafanye kazi
Ukienda Whatsapp andika neno "project ya usafi" basi
yaan tangazo lilivokaa tu lipo kiundava undavaProgram iko wapi? Isije ikawa usafi wenyewe ni wa kukuasanya machupa au maboksi mana hizi za target tunazijua hizi
Kukusanya maboksi sio?Kazi ipo kaliakoo ni usafi project
Usipofikia malengo hakuna malipo?
mtu mwenyewe hajiamini na tangazo lake, what do u expect?Huyu anqtaka watu wa kumuokotea maboksi kariakoo kufikia kilo fulani kwa siku. Kama naongopa akatar hapahapa
Miaka kadhaa nyuma nlikutana n tangazo kama hili nikapiga akaniambia habar za maboksi kariakoo. Na alidai project hivihivi..mtu mwenyewe hajiamini na tangazo lake, what do u expect?