NAFASI YA KAZI.

Joined
Aug 11, 2020
Posts
23
Reaction score
15
Habari wadau. Anatakiwa doctor wa mifugo mwenye uzoefu na mifugo. Vigezo ... Awe amesomea hiyo na ana documents zinazomuonyesha hivyo, awe Ni mkazi wa dar es salaam, na awe tayari kukaa site kwa muda wote wa kazi zake, Awe Ni msichana umri 19 mpaka 22, Kwa aliye tayari tuwasiliane chap.0712378559.
 
Mkuu inawezekana kweli kumpata binti wa Miaka 19-22 Mwenye uzoefu wa Udaktari wa Mifugo, Tena Dar es Salaam?
 
Naomba tuache utani Mimi sipo kwenye utani
 
Tuache utani Basi jamani Mimi sipo kwenye utani namna hii mnaweza sababisha mwenye uhitaji wa kazi akaona labda kuna usaniii kumbe sio.
 
Sema tu kuwa unatafuta demu na sio Dokta mifugo [emoji1787][emoji23]
 
Doctor wa miaka 22 au neno Doctor linamaana nying😂😂😂
 
Nashukuru wote mliokuwa na nia ya kufanya kazi na sisi kwa Sasa nafasi imeshapata mtu tayari kupitia humu jamii forum. Sasa naomba tena msipige simu na kwenye WhatsApp msitume tena document. Asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…