Acha kukariri maisha!! Nilishasoma diploma nikaenda kufanya kazi miaka mi3, nikajiendeleza na bachelor huku pia nikiwa nafanya kazi sehemu.Yan umemaliza tuu chuo unataka uwasimamie ambao wamehustle mtaani miaka zaidi ya 10 π π kweli wanachuo mnapenda mserereko wemsubiri mama atangaze ajira tuu mtaa hauendi hvyo unavyotaka wewe Mimi na degree yangu ya umeme napigishwa kazi na mtuu wa veta tena aliesoma basic ya mwaka mmoja na ananifukuza kazi akitaka na ananirudiaha siku akitaka πππππ