SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

Tanzania Tuitakayo competition threads

mnembe

New Member
Joined
Sep 21, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini.

Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi.

Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata matibabu ya faragha ,kama vile kujifungua na zingenezo.

Kitendo Cha daktari wa kiume kumuhudumia mwanamke wakati wakiwa faragha kinatweza utu wa mwanamke .
Na kuleta unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake wengi ,hi vyo serikali inapaswa kusimamia kikamilifu hatua hizo ili kuleta ustawi wa mwamke katika jamii yetu.

Wahudu wa kike na madaktari wa kike wahudumie wagonjwa kulingana na jinsia katika magonjwa au mazingira ambayo yatamuhifadhi mwanamke na udu wake.
 
Upvote 2
Mimi mwanaume lakini napenda nihudumiwe na daktari wa kike ila awe mzee mzee. Acha tu na sisi wanaume tuhudumiwe hakuna shida.
 
Back
Top Bottom