Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Bwana Yesu Asifiwe!

Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!!

Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu.

Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi Baada ya Mafunzo Ataanza Kazi Rasmi.

Kama Kuna Kijana unayemfahamu Anipigie Kupitia 0679448434 au Whatsapp.

USITUME SMS HAZITAJIBIWA

PIGA MUDA WA KAZI KUANZIA SAA 3 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI, JUMATATU MPAKA IJUMAA.

Bwana Awabariki!
 
1728861762655.jpg
 
Ndiyo ile kampuni inayouza na kukopesha majaba,mabeseni na mapoti yasiyopoza HATUJI TENA.
 
Back
Top Bottom