nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Kuweni makini sana na hicho mnachokitamani.
Ukweli siwezi kuwaficha na upo wazi, Hata iweje, Hio nafasi mnayotamani master planner achomoke haiwezi kubaki wazi, Never ! Ni lazima itajazwa muda huo huo haraka sana.
Na wataojaza kuna risk kubwa wawe wametoka kabila kubwa (Nyerere alishaelezea athari zake), wakanda kuzidi utaifa au mdini kuzidi secularism.
Careful what you wish for