The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nimebubujikwa na machozi ya kusikitika maana unakufuruMbona umeandika Utafikiri unatetemeka
We na wanawake wenzio mtaendaMamilioni kwa mamilioni ya waTanzania wazalendo, wataamka mapema sana alfajiri, kwenda kuweka historia ya kwa kumchagua mwana mama shupavu Dr.Samia Suluhu Hassan, wabunge na madiwa wa CCM π
Sio endapo atagombea,Kwenye andiko lako Naomba uondoe neno Endapo atagombea .Maana jibu ni moja tu kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atagombea Urais.ndiye Mgombea pekee wa CCM,ndiye atakaye pewa Fomu ya Urais ambayo nayo itakuwa na kuchapishwa Moja tu kwa ajili yake.
Kwa hiyo ningependa urekebishe andiko lako kwa kuondoa maneno hayo yanayosomeka kuwa Endapo atagombea.
Kwetu Mbeya upepo hautabiriki ni kama vile vita vya Urusi na Ukraine!Ukiongeza na vita vya mashariki ya kati na DRCKongo.Kwa sababu rais mwenyewe atakuwa anajitafta tegemea wabunge wengi wa upinzani kuingia bungeni. 70% ya wabunge wote waliopo bungeni 2025 hawatashinda kuanzia mchujo ndani ya vyama vyao. Mbunge wangu Byabato na Yule wa Muleba Kusini na Kaskazini kiufupi Kagera nzima anaweza kubaki Bashungwa tu.
Vita ni Kali mkuu,we acha tuu!acheni uganga na ushirikina mizimu itulie π
Sasa hivi ukienda na gari Kali waliopo Bungeni wanakuwa na hofu!Kumbe umeenda huko msibani au harusini.wanadhani umeenda kuweka Niandiyo siasa ilivyo,
Lakini pia hiyo vibrant politics inaongeza value ya Jimbo, pia inachochea maendeleo yenye impacts direct kwa mwananchi mpaka wa kule ndani ndani kabisa π
Endelea kuhangaika kama kukuSio endapo atagombea,
Ni
HATOGOMBEA!!
Msome kule Askofu Musomba , Mwashambwa kaeleza vizuri uchawa kama wako,safari hii mwenge unakuhusu!Endelea kuhangaika kama kuku
Mheshimiwa chawa kwenye Moja na mbiliKwenye andiko lako Naomba uondoe neno Endapo atagombea .Maana jibu ni moja tu kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atagombea Urais.ndiye Mgombea pekee wa CCM,ndiye atakaye pewa Fomu ya Urais ambayo nayo itakuwa na kuchapishwa Moja tu kwa ajili yake.
Kwa hiyo ningependa urekebishe andiko lako kwa kuondoa maneno hayo yanayosomeka kuwa Endapo atagombea.
Mwanasiasa visionary,Sasa hivi ukienda na gari Kali waliopo Bungeni wanakuwa na hofu!Kumbe umeenda huko msibani au harusini.wanadhani umeenda kuweka Nia
Yeye ndiye anapaswa kunisikiliza vizuri mimi na siyo mimi kumsikiliza yeye.Msome kule Askofu Musomba , Mwashambwa kaeleza vizuri uchawa kama wako,safari hii mwenge unakuhusu!
Wanawaza suti zao watazivalia wapi? Kwenye kilimo hakuna suti ni goombot na marapurapu!Mwanasiasa visionary,
mpaka sasaivi anafaa kua awe tayari amejitathimini na kujipima iwapo iwapo ana record na feedback njema ya kueleweka vizuri na kukubalika kwa wananchi, au aamue tu kiungwana kuelekeza jitihada zake kwenye mambo mengine binafsi ya kifamilia, au labda kujiandaa na uchaguzi wa nyakati nyingine tena π
Mwaka huu na Mwakani kitambi chako Mwashambwa,ukikosa Udc utamalizana nao kwenye mwenge!Yeye ndiye anapaswa kunisikiliza vizuri mimi na siyo mimi kumsikiliza yeye.