Pre GE2025 Nafasi ya Urais: Dkt. Samia atashinda uchaguzi huu. Ni Wabunge gani wa CCM wana uwezekano mkubwa kutetea viti vyao Bungeni 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye andiko lako Naomba uondoe neno Endapo atagombea .Maana jibu ni moja tu kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atagombea Urais.ndiye Mgombea pekee wa CCM,ndiye atakaye pewa Fomu ya Urais ambayo nayo itakuwa na kuchapishwa Moja tu kwa ajili yake.

Kwa hiyo ningependa urekebishe andiko lako kwa kuondoa maneno hayo yanayosomeka kuwa Endapo atagombea.
Sio endapo atagombea,

Ni

HATOGOMBEA!!
 
Kwa sababu rais mwenyewe atakuwa anajitafta tegemea wabunge wengi wa upinzani kuingia bungeni. 70% ya wabunge wote waliopo bungeni 2025 hawatashinda kuanzia mchujo ndani ya vyama vyao. Mbunge wangu Byabato na Yule wa Muleba Kusini na Kaskazini kiufupi Kagera nzima anaweza kubaki Bashungwa tu.
Kwetu Mbeya upepo hautabiriki ni kama vile vita vya Urusi na Ukraine!Ukiongeza na vita vya mashariki ya kati na DRCKongo.
 
Vita ni Kali mkuu,we acha tuu!
ndiyo siasa ilivyo,
Lakini pia hiyo vibrant politics inaongeza value ya Jimbo, pia inachochea maendeleo yenye impacts direct kwa mwananchi mpaka wa kule ndani ndani kabisa 🐒
 
Sasa hivi ukienda na gari Kali waliopo Bungeni wanakuwa na hofu!Kumbe umeenda huko msibani au harusini.wanadhani umeenda kuweka Nia
 
Kwenye andiko lako Naomba uondoe neno Endapo atagombea .Maana jibu ni moja tu kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atagombea Urais.ndiye Mgombea pekee wa CCM,ndiye atakaye pewa Fomu ya Urais ambayo nayo itakuwa na kuchapishwa Moja tu kwa ajili yake.

Kwa hiyo ningependa urekebishe andiko lako kwa kuondoa maneno hayo yanayosomeka kuwa Endapo atagombea.
Mheshimiwa chawa kwenye Moja na mbili
 
Sasa hivi ukienda na gari Kali waliopo Bungeni wanakuwa na hofu!Kumbe umeenda huko msibani au harusini.wanadhani umeenda kuweka Nia
Mwanasiasa visionary,
mpaka sasaivi anafaa kua awe tayari amejitathimini na kujipima iwapo iwapo ana record na feedback njema ya kueleweka vizuri na kukubalika kwa wananchi, au aamue tu kiungwana kuelekeza jitihada zake kwenye mambo mengine binafsi ya kifamilia, au labda kujiandaa na uchaguzi wa nyakati nyingine tena 🐒
 
Mwaka 2025 kuna awamu ya 7.

Chadema mlidai Tume Huru ya Uchaguzi na serikali yetu sikivu inayowajibika ipasavyo kwa wananchi wake ikasikia kilio chenu kwahiyo msije kutupigia kelele za kuibiwa kura...
 
Mwanasiasa visionary,
mpaka sasaivi anafaa kua awe tayari amejitathimini na kujipima iwapo iwapo ana record na feedback njema ya kueleweka vizuri na kukubalika kwa wananchi, au aamue tu kiungwana kuelekeza jitihada zake kwenye mambo mengine binafsi ya kifamilia, au labda kujiandaa na uchaguzi wa nyakati nyingine tena 🐒
Wanawaza suti zao watazivalia wapi? Kwenye kilimo hakuna suti ni goombot na marapurapu!
 
Back
Top Bottom