Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kuna Utamu wa kuitwa muheshimiwa na kukaa Bungeni!Kuna mbunge mmoja alisahau kuwa kaenda na gari baada ya kuangukia pua kwenye kata ya kwao!unaweza kua mkulima au mfugaji na ukavaa suti vizuri sana gentleman,
Ni kujipanga tu π
π€£π€£π€£Labda atashinda na njaa, yaani wabara tuchangue mzanzibar?
Si ndo hapo Sasa, wanashindwa kutoa tathmini ya maana. Nipo ndani ndani huku, aise wananchi Wana morale ya kujiandikisha na wanasema uchaguzi ujao wataiba kura Hadi waone aibu. Kikubwa upinzani uendelee kuwekeza huku ndani ndani maana ndiyo ilikuwa silaha kubwa ya mboga mboga.Labda atashinda na njaa, yaani wabara tuchangue mzanzibar?
wenye njaa na wawaza kula tu wanapeana moyo kinyoongeeee π€£Si ndo hapo Sasa, wanashindwa kutoa tathmini ya maana. Nipo ndani ndani huku, aise wananchi Wana morale ya kujiandikisha na wanasema uchaguzi ujao wataiba kura Hadi waone aibu. Kikubwa upinzani uendelee kuwekeza huku ndani ndani maana ndiyo ilikuwa silaha kubwa ya mboga mboga.
K u p u m z I k aCCM atagombea mwingine tena Mwanaume. Mama anaenda kupumzika atakuwa anakatibia 70s
UWT kuna shida kubwa haswawe mama imma huna haki ya kuchangia kwasabb hata kitambulisho cha mpiga kura huna, halafu eti ni kiongozi kabisa BAWACHA dah!
vyama vingine bana?π
Hatari snπ€£π€£π€£
Yap watu wamechoshwa na ufisadi wa watu wachacheSi ndo hapo Sasa, wanashindwa kutoa tathmini ya maana. Nipo ndani ndani huku, aise wananchi Wana morale ya kujiandikisha na wanasema uchaguzi ujao wataiba kura Hadi waone aibu. Kikubwa upinzani uendelee kuwekeza huku ndani ndani maana ndiyo ilikuwa silaha kubwa ya mboga mboga.
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu mjinga tu au anayefaidika na huo uchaguzi wa kihuni ndio anaweza kujitokeza kushirki huo upuuzi uitwao uchaguzi.umewataja wabunge wa CCM, ni nani atakae wareplace kutoka ndani ya CCM yenyewe?π
kua mungwana tu upinzani hakuna bukoba boss
Tunatokaje hapa mkuu??Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu mjinga tu au anayefaidika na huo uchaguzi wa kihuni ndio anaweza kujitokeza kushirki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Lakini kuendelea kushiriki kwenye uchaguzi katika mazingira haya, ni upuuzi kama upuuzi mwingine.Tunatokaje hapa mkuu??