Taarifa mbaya sana hii kwa sisi utopoloIlikuwa Tz ipate coz ni wa 13 na Libya alijitoa. Sasa Libya karudi. Maskini weee sijui vyura watalipa nn wachezaji wao Mana walitegemea Ela ushiriki wa kimataifa. View attachment 1555643
Endelea kucheza ramli hata ishu ya libya mlikuwa mnacheza ramliUsichoelewa ni kuwa kuna nchi kama Angola, hazijaruhusu michezo mpaka leo. Yaani michezo hairuhusiwi kufanyika.
Kuna nchi pia haziruhusu kuingia mpaka uwe qurantined kwa wiki mbili.
Kwa ufupi, haya mashindano yataishia kufutwa, kuna uwezekano mkubwa.
Kenya, Rwanda na Uganda ni wa ngapi mbona huwa wanajisifu sanaIlikuwa Tz ipate coz ni wa 13 na Libya alijitoa sababu ya korona. Sasa Libya karudi. Maskini weee sijui vyura watalipa nn wachezaji wao Mana walitegemea Ela ushiriki wa kimataifa. View attachment 1555643
Libya lini ilitolewa nafasi ya 12?Endelea kucheza ramli hata ishu ya libya mlikuwa mnacheza ramli
Nchi nyingi zime cancel ligi zao, hiyo haimaanishi hawana aakilishi. Hata Kenya wamecancel ligi yao.Libya walicancel kwanza ligi yao ,wasingeshiriki Tz ndo ingepeleka vilabu vinne
Manyani Fc ndio mawazo yao hayoUsichoelewa ni kuwa kuna nchi kama Angola, hazijaruhusu michezo mpaka leo. Yaani michezo hairuhusiwi kufanyika.
Kuna nchi pia haziruhusu kuingia mpaka uwe qurantined kwa wiki mbili.
Kwa ufupi, haya mashindano yataishia kufutwa, kuna uwezekano mkubwa.
Wewe ni mbishi tu in nature for nothing ,CAF ndo waliosema na tarehe zishatolewa ,UEFA champions league ziliendelea na sasa tar 3 wanaanza UEFA nations league,siyo unabisha tuNchi nyingi zime cancel ligi zao, hiyo haimaanishi hawana aakilishi. Hata Kenya wamecancel ligi yao.
Tatizo, habari za magroup ya WhatsApp zinazotolewa na makungwi, basi na nyinyi mnaamini. Kinachoshukiwa, ni taratibu za kusafiri na kucheza.
Kuna nchi zitashindwa kushiriki kama hali haitatengemaa.
Kwa mfano, walisema fainali zichezwe Cameroon, wenyeji wakatoa nje. Ikabidi wasogeze two months or so wakaamua zichezwe umangani. Hizo ni ratiba, subject to prevailing conditions.
Mkuu nimependa hilo neno 'imeyeyuka' .Leo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa.
Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha Corona ,ila leo kwenye orodha Libya ipo pia nafasi ya 12.
Kwahiyo Tanzania itawakilishwa na vilabu viwili ambavyo ni Simba na Namungo.