John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Hii habari mbaya sana kwa Wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vyema ukatupa na vyanzo vya hii taarifa ulipo itoaLeo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa.
Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha Corona ,ila leo kwenye orodha Libya ipo pia nafasi ya 12.
Kwahiyo Tanzania itawakilishwa na vilabu viwili ambavyo ni Simba na Namungo.
Kwani dada mange anasemaje kuhusu hiliHii ni hujuma Sisi timu ya wananchi lazima tupeleke malalamiko CAF haiwezekani libya nchi yenye vita ishiriki wakati sisi tuna amani ,hii hujuma haikubaliki
Yanga siyo jamii ya wanyama bali Simba, Nyani hao ni jamii ya wanyamaSawa nyani modern taarab!
Kocha wenu alishasema we ni nani ubishe kuitwa nyaniYanga siyo jamii ya wanyama bali Simba, Nyani hao ni jamii ya wanyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hii ndo source yako[emoji1787]Kama libya akifungiwa maana mpaka sasa timu yake haishiriki mchezo wowote tanzania anaweza pewa nafasi ya kuwakilisha timu nne View attachment 1555829
Wewe ni mbumbumbu fc wala sio mwananchi fc.Hii ni hujuma Sisi timu ya wananchi lazima tupeleke malalamiko CAF haiwezekani libya nchi yenye vita ishiriki wakati sisi tuna amani ,hii hujuma haikubaliki
Kwahiyo hii ndo source yako[emoji1787]
Basi nimeingia website ya CAF nimeona wameshaainisha kila kitu kwa timu zilizoshindwa kumaliza ligi zao kutokana na sababu mbali mbali.Kwahiyo timu za Libya zinachukulia timu ipi na ipi? Na timu za Libya zitachukuliwa kwa kufuata msimamo wa msimu upi?
Hakuna nafasi kwa TanzaniaLibya mpaka sasa alishajitoa kushiriki kutokana na COVID19 hana timu mwakilishi tanzania tunaweza kupewa hizo nafasi
Hakuna nafasi kwa Tanzania