Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Hakuna kitu kama hicho na hizo sababu nyingine mbili ilizozitaja, unakuwa unarudi palepale kwa sababu inawezekana ikawa kinyume na unavyofikiri.Tatu: Zipo njia nyingi mbadala wa Quarantine 14 days, unaweza kwenda na Kipimo ulichopimwa 14 days ukiwa huko ulikotoka na siku unaingia unapimwa tena hapohapo ndio mnaingia.
Kwa ufupi, hakuna uhakika wa haya mashindano kufanyika.