Nafasi ya Yanga kwenda kushiriki kimataifa imeyeyuka

Tatu: Zipo njia nyingi mbadala wa Quarantine 14 days, unaweza kwenda na Kipimo ulichopimwa 14 days ukiwa huko ulikotoka na siku unaingia unapimwa tena hapohapo ndio mnaingia.
Hakuna kitu kama hicho na hizo sababu nyingine mbili ilizozitaja, unakuwa unarudi palepale kwa sababu inawezekana ikawa kinyume na unavyofikiri.
Kwa ufupi, hakuna uhakika wa haya mashindano kufanyika.
 
Leo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa.

Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha Corona ,ila leo kwenye orodha Libya ipo pia nafasi ya 12.

Kwahiyo Tanzania itawakilishwa na vilabu viwili ambavyo ni Simba na Namungo.
Tumefanya usajili mzuri msimu huu,usajili wenye thamani ya billioni 2.5 mmmhh siamini Kama tumekosa nafasi ya kushiriki kombe la shirikisho Afrika msimu huu.[emoji881] Katia kitumbua chetu mchanga na yule [emoji350]mpiga kelele wao MANARA atatupiga vijembe [emoji25][emoji25][emoji25]
 
Mbona sisi Yanga hatukuwa na hiyo nafasi? Hayo mengine ilikuwa ni ya kufikirika tu!? Poleni sana tumewafunika mbaya hadi mnalazimisha vitu ambavyo hata Fundi Carlinhos anajua! By the way Kuku kishingo anaendeleaje baada ya kuzabuliwa vibao na terminator!?
 
Hiyo habari nye ndo mmezusha kwa vile hamna kazi za kufanya
 
Leo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa.

Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha Corona ,ila leo kwenye orodha Libya ipo pia nafasi ya 12.

Kwahiyo Tanzania itawakilishwa na vilabu viwili ambavyo ni Simba na Namungo.
tutaenda kwa nguvu zetu wenyewe
 
Mbona sisi Yanga hatukuwa na hiyo nafasi? Hayo mengine ilikuwa ni ya kufikirika tu!? Poleni sana tumewafunika mbaya hadi mnalazimisha vitu ambavyo hata Fundi Carlinhos anajua! By the way Kuku kishingo anaendeleaje baada ya kuzabuliwa vibao na terminator!?
𝙽𝚊 𝚠𝚠 𝚌𝚊𝚕𝚒𝚗𝚑𝚘 𝚊𝚗𝚊𝚎𝚗𝚍𝚎𝚕𝚎𝚊𝚓𝚎 𝚋𝚊𝚊𝚍𝚊 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚐𝚘𝚖𝚊 𝚔𝚞𝚜𝚑𝚎𝚊 𝚌𝚑𝚞𝚖𝚋𝚊 𝚔𝚒𝚖𝚘𝚓𝚊 𝚗𝚊 𝚃𝚘𝚗𝚘𝚖𝚋𝚎
 
Hakuna kitu kama hicho na hizo sababu nyingine mbili ilizozitaja, unakuwa unarudi palepale kwa sababu inawezekana ikawa kinyume na unavyofikiri.
Kwa ufupi, hakuna uhakika wa haya mashindano kufanyika.
Yasipofanyika mwaka huu mwakani yakifanyika wanaenda mabingwa wa mwaka uliopita kwa hiyo hata mwakani hauna nafasi maana ubingwa haupati labda mwaka keshokutwa
 
𝚂𝚒𝚘 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚊 𝚔𝚎𝚜𝚑𝚘 𝚔𝚞𝚝𝚠𝚊 𝚖𝚠𝚊𝚖𝚋𝚒𝚎 𝚖𝚙𝚔 2030 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚝𝚞𝚝𝚊𝚏𝚒𝚔𝚒𝚛𝚒𝚊 𝚔𝚞𝚖𝚞𝚊𝚌𝚑𝚒𝚊 𝚗𝚊 𝚢𝚢 𝚊𝚗𝚢𝚊𝚗𝚢𝚞𝚎 𝚔𝚠𝚊𝚙𝚊
 
Hakuna Yanga aliyetaka mechi za CAF..watu wanataka taji lao la VPL..kama walivyofanya Real Madrid msimu uliopita
 
Back
Top Bottom