Nafasi ya Yanga kwenda kushiriki kimataifa imeyeyuka

Sidhan kama Yanga ilikuwa imejiandaa kwenye mashindano ya Caf au ilikuwa inayafikiria hayo mashindano this year kutokana na mwenendo wa kikosi chao.
 
Ni vyema ukatupa na vyanzo vya hii taarifa ulipo itoa
 
Kama libya akifungiwa maana mpaka sasa timu yake haishiriki mchezo wowote tanzania anaweza pewa nafasi ya kuwakilisha timu nne
 
Hii ni hujuma Sisi timu ya wananchi lazima tupeleke malalamiko CAF haiwezekani libya nchi yenye vita ishiriki wakati sisi tuna amani ,hii hujuma haikubaliki
Wewe ni mbumbumbu fc wala sio mwananchi fc.
 
Kwahiyo hii ndo source yako[emoji1787]

Libya mpaka sasa alishajitoa kushiriki kutokana na COVID19 hana timu mwakilishi tanzania tunaweza kupewa hizo nafasi
 
Kwahiyo timu za Libya zinachukulia timu ipi na ipi? Na timu za Libya zitachukuliwa kwa kufuata msimamo wa msimu upi?
Basi nimeingia website ya CAF nimeona wameshaainisha kila kitu kwa timu zilizoshindwa kumaliza ligi zao kutokana na sababu mbali mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…