CAF wameainishaLibya mpaka sasa alishajitoa kushiriki kutokana na COVID19 hana timu mwakilishi tanzania tunaweza kupewa hizo nafasi
CAF wameainisha View attachment 1555844
Endelea kuota hivyo hivyoUsichoelewa ni kuwa kuna nchi kama Angola, hazijaruhusu michezo mpaka leo. Yaani michezo hairuhusiwi kufanyika.
Kuna nchi pia haziruhusu kuingia mpaka uwe qurantined kwa wiki mbili.
Kwa ufupi, haya mashindano yataishia kufutwa, kuna uwezekano mkubwa.
Wana hiyo nauli ya kupanda ndege bora tu wame nyimwa bhana maana wsngetudharirisha sana nchi yetuWachabwana wee.akuna hata kanafasi kadogo kakujibanza ili na Uto wapande ndege?
Hiyo simu unayoitumia, ilikuwa ni ndoto.Endelea kuota hivyo hivyo
Wewe unajua ratiba inaanza lini? Kwahiyo huyo Corona atakuwepo hadi huo muda?Usichoelewa ni kuwa kuna nchi kama Angola, hazijaruhusu michezo mpaka leo. Yaani michezo hairuhusiwi kufanyika.
Kuna nchi pia haziruhusu kuingia mpaka uwe qurantined kwa wiki mbili.
Kwa ufupi, haya mashindano yataishia kufutwa, kuna uwezekano mkubwa.
Kwa hiyo?Wewe unajua ratiba inaanza lini? Kwahiyo huyo Corona atakuwepo hadi huo muda?
Kwa taaarifa tu, michezo inaanza Novemba 20.
Wamesahau mzee yusuph walimpa uongozi yanga tena wa kuchaguliwaSawa nyani modern taarab!
Mosi: Hatua zozote zilizowekwa ktk nchi yoyote kupambana na Covid sio za kudumu zinabadilishwa wakati wowote,fuatilia uone.Tanzania kwenyewe tu hakuna tena social distance viwanjani.Kwa hiyo?
Mfano mkipangiwa na Gor Mahia November 20. Dirisha na registration linaisha October 20, kila nchi iwe imeshasajili.
Mkifika Kenya mnapimwa kwanza, halafu quarantine wiki mbili.
Rwanda, uganda the same. Ghana, Angola the same. Hii ni Africa, siyo Europe.