Hahahaha ziki ndio zinawakimbiza kwenu mpaka mnakuja kupigwa kipapai ugenini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnafanyiwa vitimbi vya kila namna lakini bado mnakomaa yaani hapo ndio ujue namna mlivyo na ziki kwenu,
Mtanzania asikie tu unamsimanga kwa jirani, kesho unakuta keshafungasha vitu vyake safari, yaani mtanzania humnyanyasi hata kama unampa shilling ngapi, akihisi tu hapa sipo comfortable tayari keshaamsha majeshi, sasa ninyi mpaka mnalogwa lakini bado tu mpo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaonesha namna gani maisha yalivyo mazuri huku kuliko huko jehanam kwenu.