Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Huwa najiuliza itakuwa mchukua muda gani kwa baadhi ya watu kufahamu want is meant for someone to be a computer scientist(or any related career) hususani Tanzania ...wengi katika watu wanafikiria kazi za computer any one can do alieyesoma short course za computer application.... Computer application ni kadude kadogo(say 1%) ya computer computer science

Mkuu wengi kwa kuwa sasa hivi TCU wameleta Sera kuwa kila degree/diploma program iwe na course ya ICT sasa wanahisi maadam wamesoma kile kidude kidogo ndio wao wapo sawa na computer scientist kitu ambacho ni uongo mkubwa

Labda mkuu hao wakuu wanaokubishia wangesema hivi kuwa kama kazi zilizopo sensa za IT hata mtu alieisoma IT kama module(course/somo) anaweza kufanya lakini sio kuitakidi kwamba kazi ya IT yeyote aliyesoma ki computer application au ICT kama module au somo anaweza fanya....basi hao walimu waajiliwe eGa, waajiliwe wawe ma system administers na ma developers na network engineers

In short kama hujasoma hizi field za ICT chuo kama program basi tambua kuwa ICT ni field pana sana hata hao ma IT wenyewe sio kila mmoja anajua field zote
 
Mwenye link ya group la HR-TANZANIA , naomba aweke hapa maana huwa kuna discuss za maana kule kuhusu maswala ya sensa. Sema nilileft
Si lipo telegram unasearch grupu unalipata ,hilo grupu lina madini siriaz na taarifa za maana kuhusu Kazi ,vibarua na ajira.
 
Kilema kaskazin
Waliomba
Ukarani 75
Maudhui 9
I.T hamna usaili kesho
Raia wengi waliomba wapo vyuoni huko
Wazawa ambao hatutokagi hii kijij tunajipigia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…