dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Yaani wewe ndioSawa.
Naulizia pia mahali tulivu romantic naweza kwenda nae (maeneo ya huko huko Temeke) tukakaa tukaongea, ama tukala hivi...
Naomba unielekeze kama unajua sehem yoyote nzuri.
Umeufufua huu UZI. Kila La kheri huko unakoenda tunatarajia kula ubwabwa verisuni😀😀 nadhani