Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kwa waliozitumia vibaya zimeisha ila wapo wengi tu waliozifanyia mambo ya msingi km biashara nk...
M nashkuru pesa za sensa nimefanyia ufugaji
20221022_172845.jpg
 
Mi Sensa imenipa mke... Kuna dada alikwama kufanya maombi ikabid aje nimsaidie kutoka hapo tukawa marafiki ndani ya siku kadhaa wapenzi tena kwenye penzi zito sana. Mara tuko hospital kupima magonjwa yote kuanzia hpo ni historia maana ni week ya pil sasa toka tubarikiwe kupata mtoto wa kwanza. Usemi wa mke hatafutwi nimeamin maana nimekuwa na mahusiano ya zaid ya miaka mitano lakin nimekuja kuoa mwanamke niliyekutana nae ndani ya week tu
 
Hahaha, hongera.
 
Zaeni Elimu Ni Bure Ndugu Zangu
 
Temeke kata ya Yombo Vituka ukitoka mnitag.
Habari kaka.

Kuna dada nina shida nae, kuonesha nipo serious nimemwambia popote alipo niko tayari kumfata tuonane.

Mie nipo mitaa ya Ubungo.

Dada ameniambia anaishi Temeke Yombo. Amesema kama ni kuonana, basi isiwe mitaa ya mbali na Temeke. Yaani tusiende mbali. Anaishi kwao.

Mie Temeke sio mwenyeji, napajua Tandika kituo cha daladala na ile barabara ya kwenda Buza.

Naomba unielekeze Yombo iko pande gani. Yaani nafikaje.

Halafu kingine, maeneo ya huko Temeke kuna mahali tulivu naweza mpeleka mtu wangu tukakaa kwa ajili ya mazungumzo.

Wote hatunywi pombe.

Napenda sehem iwe na mandhari tulivu, romantic. Tuweze kuongea kwa utulivu, kisha giza likiingia nimrudishe kwao Yombo mie nirudi Ubungo.

Nisaidie mkuu. Nampenda sana huyu dada.

Kuhusu usafiri nina private car.
 
Muulize Yombo ipi? Kuna Yombo dovya, Yombo vituka, Yombo reli,n.k.
Mwambie akupe kituo uelekezwe vizuri.
 
Sawa.

Naulizia pia mahali tulivu romantic naweza kwenda nae (maeneo ya huko huko Temeke) tukakaa tukaongea, ama tukala hivi...

Naomba unielekeze kama unajua sehem yoyote nzuri.
 
Jua kwanza mahali anaishi, sehemu za kupoa ni nyingi sana mfuko wako tu mkuu.
Ukiwa tayari tag hapa nitakupa chimbo nyingi utachagua mwenyewe kulingana na ukaribu na alipo au vinginevyo.
 
Back
Top Bottom