Hivi nimeskia mwez wa2 kutakuwa na tathmin ya sensa ndo inahusu nin kwa anaefahamuMmmh acha mbwmbw..... kwan umelipwa million
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nimeskia mwez wa2 kutakuwa na tathmin ya sensa ndo inahusu nin kwa anaefahamuMmmh acha mbwmbw..... kwan umelipwa million
Mliokuwa mna jaza TASCO na ISIC bila umakin mnajiwekea tu[emoji1787][emoji1787]Hivi nimeskia mwez wa2 kutakuwa na tathmin ya sensa ndo inahusu nin kwa anaefahamu
Kwa waliozitumia vibaya zimeisha ila wapo wengi tu waliozifanyia mambo ya msingi km biashara nk...Kwa Sasa pesa zimeshaisha wanakunywa viroba na kugongea msosi
M nashkuru pesa za sensa nimefanyia ufugajiKwa waliozitumia vibaya zimeisha ila wapo wengi tu waliozifanyia mambo ya msingi km biashara nk...
Hahaha, hongera.Mi Sensa imenipa mke... Kuna dada alikwama kufanya maombi ikabid aje nimsaidie kutoka hapo tukawa marafiki ndani ya siku kadhaa wapenzi tena kwenye penzi zito sana. Mara tuko hospital kupima magonjwa yote kuanzia hpo ni historia maana ni week ya pil sasa toka tubarikiwe kupata mtoto wa kwanza. Usemi wa mke hatafutwi nimeamin maana nimekuwa na mahusiano ya zaid ya miaka mitano lakin nimekuja kuoa mwanamke niliyekutana nae ndani ya week tu
Kibunda lazima kikuzwe mzeeVipi wakuu, kubunda cha sensa bado kipo?
Ila watu😂🙌Vipi wakuu, kubunda cha sensa bado kipo?
Zaeni Elimu Ni Bure Ndugu ZanguMi Sensa imenipa mke... Kuna dada alikwama kufanya maombi ikabid aje nimsaidie kutoka hapo tukawa marafiki ndani ya siku kadhaa wapenzi tena kwenye penzi zito sana. Mara tuko hospital kupima magonjwa yote kuanzia hpo ni historia maana ni week ya pil sasa toka tubarikiwe kupata mtoto wa kwanza. Usemi wa mke hatafutwi nimeamin maana nimekuwa na mahusiano ya zaid ya miaka mitano lakin nimekuja kuoa mwanamke niliyekutana nae ndani ya week tu
Tumeambilia Vishkwambia Tanzania 🇹🇿 NzimaVipi wakuu, kubunda cha sensa bado kipo?
Sawa SawaKitambo
Habari kaka.Temeke kata ya Yombo Vituka ukitoka mnitag.
Muulize Yombo ipi? Kuna Yombo dovya, Yombo vituka, Yombo reli,n.k.Habari kaka.
Kuna dada nina shida nae, kuonesha nipo serious nimemwambia popote alipo niko tayari kumfata tuonane.
Mie nipo mitaa ya Ubungo.
Dada ameniambia anaishi Temeke Yombo. Amesema kama ni kuonana, basi isiwe mitaa ya mbali na Temeke. Yaani tusiende mbali. Anaishi kwao.
Mie Temeke sio mwenyeji, napajua Tandika kituo cha daladala na ile barabara ya kwenda Buza.
Naomba unielekeze Yombo iko pande gani. Yaani nafikaje.
Halafu kingine, maeneo ya huko Temeke kuna mahali tulivu naweza mpeleka mtu wangu tukakaa kwa ajili ya mazungumzo.
Wote hatunywi pombe.
Napenda sehem iwe na mandhari tulivu, romantic. Tuweze kuongea kwa utulivu, kisha giza likiingia nimrudishe kwao Yombo mie nirudi Ubungo.
Nisaidie mkuu. Nampenda sana huyu dada.
Kuhusu usafiri nina private car.
Sawa.Muulize Yombo ipi? Kuna Yombo dovya, Yombo vituka, Yombo reli,n.k.
Mwambie akupe kituo uelekezwe vizuri.
Jua kwanza mahali anaishi, sehemu za kupoa ni nyingi sana mfuko wako tu mkuu.Sawa.
Naulizia pia mahali tulivu romantic naweza kwenda nae (maeneo ya huko huko Temeke) tukakaa tukaongea, ama tukala hivi...
Naomba unielekeze kama unajua sehem yoyote nzuri.