Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Au cio [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo ivo, majibu ya ndio jibu ndiyo ya hapana jihu hapana.
Hizo porojo zitakugharimu si unaona kwenye maelezo yako huko mwisho umeanza kuisemea hadi serikali πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi makarani wanahitajika wangapi kwenye kitongoji kimoja?

Leteni data kamili tufanye tathmini kuwa kuna uwezekano wa kuchaguliwa.
Mkuu hvi vitongoji vinatofautiana ukubwa kati ya eneo la lingine but tusubiri muongozo
 
Majina ya waliochaguliwa ngazi ya kata katika halmshauri vipi yatatolewaje , kwa umma tujione. Kama tumo au hatumo ??
Kata yetu ukimaliza interview wanakwambia ijumaa majina ya waliochaguliwa yatabandikwa ofisi ya kata. So nadhani watabandika as soon as possible.
 
Wadau nimeulizwa swali linasema: endapo mafunzo ya sensa yataanza 20/07/2022 hadi 20/09/2022 je nitakuwa tayari kuhudhuria? wakaniambia nijibu NDIYO au HAPANA, vipi nyie mnalionaje swali hilo hasa ukizingatia tarehe ya mwisho wa mafunzo imevuka hadi tarehe ya zoezi la sensa yenyewe.
 
Kuna maeneo hizi kazi kama huna konekshen hupat
Hawawezi kukosa kupotosha watu kimchongo na hata ikitokea hawewezi kupitisha wote kwa koneksheni lazima itabaki asilimia fulani ya nafasi za kugombania wenzangu na mimi.
 
Kwanza twambie, wewe umejibu namna gani?
 
Jibu ndio mkuu
 
Mimi ni form 4 anayejihic ana akili sana na uelewa mkubwa aniulize swal lolote kuhus technology. Tumechoka kudhalaulika
[emoji116][emoji116][emoji116] Nisaidie jibu

Break this algorithm to nth number sqrt()
-float Q_rsqrt( float number )

{

long i;

float x2, y;

const float threehalfs = 1.5F;



x2 = number * 0.5F;

y = number;

i = * ( long * ) &y; // evil floating point bit level hacking

i = 0x5f3759df - ( i >> 1 ); // what the https://jamii.app/JFUserGuide?

y = * ( float * ) &i;

y = y * ( threehalfs - ( x2 * y * y ) ); // 1st iteration

// y = y * ( threehalfs - ( x2 * y * y ) ); // 2nd iteration, this can be removed



return y;

}
 

Nimeulizwa pia ilo nikasema mmh!! Huu mtego au?? Nikawaambia zoezi la sensa linaanza tarehe 23/8 haifiki mwezi wa 9 akasema hujaelewa swali tunarudia wakarudia ikabid tu niseme ndiyo ila wamenichanganya
 
Mtaje kamishna wa kwanza wa Sensa wa mwaka 1967 na utuambie ropoti yake aliizindua nani mwaka 1968 ?
 
Nimeulizwa pia ilo nikasema mmh!! Huu mtego au?? Nikawaambia zoezi la sensa linaanza tarehe 23/8 haifiki mwezi wa 9 akasema hujaelewa swali tunarudia wakarudia ikabid tu niseme ndiyo ila wamenichanganya
Jibu ni NDIYO, Hapo kitaalam tunasema ulikuwa unapimwa response yako kama ikitokea kuna mabadiliko yoyote ya ratiba ya zoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…