Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Naweka msisitizo,kama kuna form four atakaepata hii kazi labda huko vijijini kabisa ambapo hakuna namna,lakini kwa Mijini wahesabu maumivu.
Me niliomba nikaitwa kwenye usaili vimaswali vyenyewe najua pale natoboa hata kama walituuliza kwa lugha ya mkoloni, ila kwa sasa wakiniita nakupangiwa mjini nitafanya wakinipeleka vijijini ciendi
 
Kazi mnayo ndugu zangu. Behind the scene mambo ndo yapo kama hivi. View attachment 2299955
Wanaweza kudhani wanawasaidia hawa vijana wao, ila kiukweli wana walemaza sana kifikra.

Ndo maana ilifika kipindi JPM anatazama watu wa teuzi pale bungeni haoni brains za kueleweka, akawa analazimika kuokota okota watu huko na uko awape ubunge then mawaziri.
 
Naweka msisitizo,kama kuna form four atakaepata hii kazi labda huko vijijini kabisa ambapo hakuna namna,lakini kwa Mijini wahesabu maumivu.

Kwaiyo hii Kazi ya ukarani watapewa watu gani hii Kazi kwa Uelewa wangu watawapa wanafunzi wa vyuo na jobless hata Kama form four trust

Pia hakuna Cha connection we hujui lolote kuhusu sema hujawa short listed kwa sababu huna vyeti.
 
waache wabwabwaje tu,hawajui kinachoendelea japo na mimi nimeomba lakn naangalia kwa ukaribu sanaaa nini kinaendelea kwenye ajira hizi za sensa.
 
Ulivyo MJINGA haujui kuwa programming language ni lugha za kiteknolojia na bado hauoni aibu kudharau wasomi!
Sawa msomi
Sisi wagosi wa kaya tunasaka vibarua vya sensa na magamba ya f4 ,
Ombi langu kwenu wasomi tuleeteeni fursa basi naamini huu mfumo wa sensa umetoka nje wakati tz kuna maprogrammers wanaoweza kufanya izo kazi
Mwisho wa siku tunaanza kucompete na f4 leavers kwa kitu ambacho hakiitaji elimu

Na mbaya zaidi kuna mafunzo ya siku 21 sasa hapo si hata la saba wanaweza kufanya......

Hatukatai sisi ni wasomi lakin "in practice we are ignorant than what our certificates speak about us"
 
Soma kwa makini hio attachment.

View attachment 2299870

Soma kwa makini hio attachment.View attachment 2299870
If True
Mungu amlinde Samia na mabaya yote
Maana atakuwa ametukooa Sana Yan
 
If True
Mungu amlinde Samia na mabaya yote
Maana atakuwa ametukooa Sana Yan
Samia kajitahidi aisee , kwenye usaili sehemu nyingi nimeona vijana mostly jobless kabisa na vijana wa chuo , vijana wengi walikuwa hawana tumaini kabisa mambo ya connection akiweza kudhibiti hata Kwa asilimia 70 atakuwa amewanyanyua vijana ...hii nchi manyang'au wengi mno .... Kwenye sualala Ajira Kwa vijana jiwe akasome kwa mama
 
Kwaiyo hii Kazi ya ukarani watapewa watu gani hii Kazi kwa Uelewa wangu watawapa wanafunzi wa vyuo na jobless hata Kama form four trust

Pia hakuna Cha connection we hujui lolote kuhusu sema hujawa short listed kwa sababu huna vyeti.
Soma mwongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…