Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wadau Sehemu uthibitisho wa kiongozi wa eneo unaloishi si naweza kumpa hata mjumbe wa mtaa asaini maana wameandika afisa mtendaji /sheha wa kijiji/mtaa/Shehia . Sasa sheha wa mtaa kuna mtu kaniambia ndio mjumbe .
 
Wewe nenda kwa mtendaji wa kata
 
Wadau Sehemu uthibitisho wa kiongozi wa eneo unaloishi si naweza kumpa hata mjumbe wa mtaa asaini maana wameandika afisa mtendaji /sheha wa kijiji/mtaa/Shehia . Sasa sheha wa mtaa kuna mtu kaniambia ndio mjumbe .
mjumbe anatakiwa akupe barua ya utambulisho ipeleke kw amtendaji kata ndoakusignie
 
Wadau Sehemu uthibitisho wa kiongozi wa eneo unaloishi si naweza kumpa hata mjumbe wa mtaa asaini maana wameandika afisa mtendaji /sheha wa kijiji/mtaa/Shehia . Sasa sheha wa mtaa kuna mtu kaniambia ndio mjumbe .
We nenda kwa mtendaji mtaa wako ulioandikisha mtupie lifomu haitajii maelezo ye mwenyewe anamwaga wino
 
Wakuu habarini za mchana, naombeni msaada,, katika maombi ya kazi ya sensa nimejaza Kila kitu lakini bado naambiwa maombi hayajakamilika form namba 1 iliyosainiwa haijawekwa . Wakati huohuo form hiyo iliyosaniwa nimeweka inaonekana kabisa.. nisaidieni tafadhari
 
Naomben kuuliza iv usaili ndo unakuaje ngazi ya kata kwa sisi tulioomba ukarani..?
 
Serikali ikiwependeza kuanzia awamu zijazo, wenye ajira wasipewe nafasi katika kazi za muda ili kuwapa nafasi zaidi watu wasio na ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…