mkuu hii changamoto umeitatuaje maana mimi hadi sasa holaa nimepakia fomu lakini naambiwa maombi yanasuburi fomu namba moja akati nishaiwekaWakuu habarini za mchana, naombeni msaada,, katika maombi ya kazi ya sensa nimejaza Kila kitu lakini bado naambiwa maombi hayajakamilika form namba 1 iliyosainiwa haijawekwa . Wakati huohuo form hiyo iliyosaniwa nimeweka inaonekana kabisa.. nisaidieni tafadhari
mkuu hii changamoto umeitatuaje maana mimi hadi sasa holaa nimepakia fomu lakini naambiwa maombi yanasuburi fomu namba moja akati nishaiwekaHili limekuja ata kwa watu niliowatumia maombi yani form no 1 naziona pale zipo ila Maombi yanaonyesha yanasubiri form no1.sasa nashindwa kuelewa ni system yao au ni vipi wakati nilishapakia form no1 ktambo tu.
mimi hadi sasa sijspsts huu ujumbe na fomu nimeshaipakia kabisaMaombi yamepokelewaView attachment 2229041
Huo ujumbe unakuja baadae kikubwa kwenye info zako pale juu waandike maombi yametumwamimi hadi sasa sijspsts huu ujumbe na fomu nimeshaipakia kabisa
Sivyo inavyokuwaKumbe ni ivyo mkuu basi sawa ngoja tusubili tuone itavyokuwa
HAWAJAANDIKAmimi hadi sasa sijspsts huu ujumbe na fomu nimeshaipakia kabisa
Huo ujumbe unakuja baadae kikubwa kwenye info zako pale juu waandike maombi yametumwa
Soma tangazo vizuri ,kuna sehemu wameandika muhimKuna baadhi ya kata ukisha saini wana hitaji ubakishe copy pale ofisini wakati huo huo kuna kata zingine hazi semi kuacha copy ofisini mwao
Je huu utaratibu wa kuacha copy ya maombi ni Rasmi au imekaaje kwa waombaji wengine mko na experience ipi?
Kama amefanya ivo sababu hana smart phone wala computer mimi naweza kumuelewa. Ila kama amefanya ivo smartphone anayo ila hawezi tu. Hapo ni tatizo.Mtaalam tunayemtegemea kufanya kazi ya sensa kwa kutumia Kishikwambi ameenda stationary akalipa 10000 ili asadiwe kufanya application, nawangoja wa hivi waje kwenye interview watajua hawajui
Jaza username yako na password ulizotumiwa kwenye Email mkuu
Tuma msg nyingi sana wanakujibu.Kuna aliyefanikiwa kupokelewa simu na hawa customer service wa sensa?. Maana wana namba nyingi lakini zote nimeambulia patupu tangu asubuhi mpaka mda huu, nimeamua nilale kwanza nitaziamkia saa tisa usiku
Mtendaji mstaafu hapo sijaelewa statement yako ulivyoiweka.. ulivyoandika yaani unamaanishaMtaalam tunayemtegemea kufanya kazi ya sensa kwa kutumia Kishikwambi ameenda stationary akalipa 10000 ili asadiwe kufanya application, nawangoja wa hivi waje kwenye interview watajua hawajui
Tafuta mtu ambaye yupo dar au dodoma aende kwa ofisi zao,dar ofisi ipo posta kam unaenda kivukon.Tuma msg nyingi sana wanakujibu.
Kumbe Kuna interview [emoji855][emoji855]Mtaalam tunayemtegemea kufanya kazi ya sensa kwa kutumia Kishikwambi ameenda stationary akalipa 10000 ili asadiwe kufanya application, nawangoja wa hivi waje kwenye interview watajua hawajui
Mkuu hiz kazi n mipango tu unaweza ukaatach diploma yako pale na ukaliwa kichwa then Yule mwenye form 4 ya 31 akala shavu.hii ni bongo nduguHivi KWENYE MCHUJO , JE UFAULU WA KIDATO CHA NNE WANA U CONSIDER ? MAANA KWENYE ACADEMIC QUALIFICATIONS NI FORM 4 TUU NA CHETI UNAWEKA...