Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ukishatumia maombi yote na kutuma fomu iliyosainiwa na mtendaji lazima upate huu ujumbe wa kijani....
 
Sema kuna watanzania wamezoea kuzima moto kila sehemu. yani hadi leo deadline bado kuna watu wanahangaika kutuma maombi. Je nikukosa muda?
Nikushindwa kupata taarifa kwa wakati?
Au ni uzembe tu na upotevu wa muda tuliozoea kuishi nao nchi masikini.

Be serious Plz, time is money.
 
Mpaka sasa sijafanya maombi ya hii kazi. System imenisumbua toka may 9. natumia simu hapa.

sina access na computer

mwenye uwezo wa kunisaidia haraka naomba tuwasiliane
 
Mpaka sasa sijafanya maombi ya hii kazi. System imenisumbua toka may 9. natumia simu hapa.

sina access na computer

mwenye uwezo wa kunisaidia haraka naomba tuwasiliane
Naweza kukusaidia
 
Mpaka sasa sijafanya maombi ya hii kazi. System imenisumbua toka may 9. natumia simu hapa.

sina access na computer

mwenye uwezo wa kunisaidia haraka naomba tuwasiliane
Nitext whtasapp 0768625199
 
Mpaka sasa sijafanya maombi ya hii kazi. System imenisumbua toka may 9. natumia simu hapa.

sina access na computer

mwenye uwezo wa kunisaidia haraka naomba tuwasiliane
Nenda stationary ya karibu utapata huduma
 
Kuna jamaa ni mtumishi wa umma ile sehemu ya hali ya ajira kakosea akaandika amejiajiri badala ya mwajiriwa halafu kwenye ile fomu namba 1 ya sensa mkuu wake wa kituo kamsainia,je italeta shida?
Huyo labda aende kwenye kuupdate taarifa yake. Ila bila hivyo kaliwa kichwa maana taarifa alizojaza mwanzoni ni za uwongo
 
Mpaka sasa sijafanya maombi ya hii kazi. System imenisumbua toka may 9. natumia simu hapa.

sina access na computer

mwenye uwezo wa kunisaidia haraka naomba tuwasiliane
Ndugu inaonekana aupo siriazi na maisha yako, hivi umekosa ata buku mbili ya kwenda internet cafe? Nadhani kitu ulichokuwa unaangaika nacho tangu mei 9 mpk mda huu hakina maana sana kwako ila nasikitika sana vijana wa sasa kuona namna gani wanavyotatua matatizo yao inshu muimu kama hii unaangaika na simu janja tangu mei 9! Samahan kama ntakukwaza[emoji120]
 
You judge too fast my friend.

maisha mengine yalikuwepo sio kila siku kuwaza ajira tu

nime apply leo na nimemaliza kila kitu.

hii ndo bongo, kuidharau serikali
 
wabongo tumezoea nyongeza hadi ktk mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…