Nafasi za ajira zinasimamiwa na taasisi badala ya utumishi, wasio na connection wanatoboa hapa ?

Nafasi za ajira zinasimamiwa na taasisi badala ya utumishi, wasio na connection wanatoboa hapa ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA.

Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao

Wasio na connection wanatoboa hapa ?

Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
 
Omba kazi wewe au kama una mtu wako wa karibu na ana vigezo mwambie aombe,, Kwani Mabosi wangeamua kuuza hizo ajira kimyakimya we ungejua,, au hata ungejua ungewafanya nini..?
Omba kazi Mungu wako atakusaidia
 
Back
Top Bottom