R round kick JF-Expert Member Joined Feb 3, 2025 Posts 345 Reaction score 1,145 Feb 6, 2025 #1 Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA. Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao Wasio na connection wanatoboa hapa ? Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA. Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao Wasio na connection wanatoboa hapa ? Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Feb 6, 2025 #2 Omba kazi wewe au kama una mtu wako wa karibu na ana vigezo mwambie aombe,, Kwani Mabosi wangeamua kuuza hizo ajira kimyakimya we ungejua,, au hata ungejua ungewafanya nini..? Omba kazi Mungu wako atakusaidia
Omba kazi wewe au kama una mtu wako wa karibu na ana vigezo mwambie aombe,, Kwani Mabosi wangeamua kuuza hizo ajira kimyakimya we ungejua,, au hata ungejua ungewafanya nini..? Omba kazi Mungu wako atakusaidia