Nafasi za kazi ajira portal ni kizungumkuti

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree

Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana

Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge

Tunakosa tena huu mchongo
 
Mwalimu acha kulia lia huo mfumo hamjaanza kutumia nyinyi wenzenu kibao wanautumia, tuliza kichwa ujaze kama wanavyotaka.

Maisha yanabadirika zile nyakati za kupangiwa kazi bila usaili zishaisha mkapambane sasa.
 
Bado unaomba ajira kwa ajiraportal ? huo mfumo kwa sasa una nafasi ndogo, Rais alisharuhusu taasisi na mashirika yajisimamie kwenye ajira, ni mwendo wa connection tu.
 
Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree

Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana

Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge

Tunakosa tena huu mchongo
Mkuuu mbona hakuna changamoto yeyote omba usaidiz unapo kwama kujaza wakujazie
 
Back
Top Bottom