Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Mwalimu acha kulia lia huo mfumo hamjaanza kutumia nyinyi wenzenu kibao wanautumia, tuliza kichwa ujaze kama wanavyotaka.Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree
Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana
Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge
Tunakosa tena huu mchongo
π Mkuu waonee huruma kidogo,Bado hamjasema π
Watakoma ππ Mkuu waonee huruma kidogo,
Mbona kwenye tangazo yapo?Biology and Geography hamna
IpoBiology and Geography hamna
Wapigie utumishi wanakusaidiaNawezaje kupata passwords nimesahau wapendwa
Ipo ! Hebu tumieni uzi mmoja ndio mtapata usaidizi nenda kwenye uzi wa ajira za ualimu maswali yote yanajibiwa muleBiology and Geography hamna
ingia forgot passwordNawezaje kupata passwords nimesahau wapendwa
Mkuuu mbona hakuna changamoto yeyote omba usaidiz unapo kwama kujaza wakujazieYani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree
Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana
Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge
Tunakosa tena huu mchongo